Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Anatarajiwa Kutembelea Mpwapwa leo tarehe 8.8.2020.
Akiwa Mpwapwa atatembelea na kifungua jengo jipya la Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa iliyopo eneo la Ndenje, Mji Mpya.
Muda ni saa 2:00 asubuhi, Wananchi wote Mnakaribishwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.