Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia na kuwakaribisha wawekezaji wote kuja kuwekeza katika eneo la MPWADECO lipo Plot No. 4 block Posta Area lenye ukubwa wa mita za mraba 9330 Sq Ft.
Eneo hilo pia lina hati inayomilikiwa na Halmashauri na linafaa kwa matumizi ya biashara na makazi na lipo karibu na benki ya NMB. Karibuni sana.
Kwa mawasiliano zaidi:
S.L.P. 12 Mpwapwa, simu +255026-2321122,Nukushi,+255-026-2320122 Barua Pepe,info@mpwapwadc.go.tz,Tovuti,www.mpwapwadc.go.tz
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.