Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawajulisha wasailiwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji III kuwa matokeo ya usaili wa mchujo yameshatoka hivyo anawakaribisha wale wote waliochaguliwa kuendelea na usaili wa Mahojiano kwa siku ya kesho tarehe 18.04.2024 . KUONA MATOKEO BONYEZA HAPA - MATOKEO VEO MPWAPWA.pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.