• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

TASAF Yatoa Mafunzo Kwa Wakuu wa Idara

Posted on: March 12th, 2018

TASAF ni mradi wa kunusulu kaya masikini nchini Tanzania, kwa upande wa Halmashuri ya Mpwapwa pamoja na kutoa misaada ya kunusulu kaya masikini, mradi huu unatoa elimu ya namna ya kujikwamua katoka katika umasikini.

Kwa siku ya leo TASAF imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa idara na vitengo ili baadae waweze kuwafundisha walengwa wa mradi kwa maana kaya masikini. Katika mafunzo hayo mada mbalimbali zilifundishwa kama vile jinsi ya kuwekeza kwa mtaji mdogo, kuweka akiba, jinsi ya kuandaa andiko la biashara, kutambua fursa, kujitegemea, kufanyakazi mbadala ili kujikwamua katika umasikini.

Mwezeshaji wa TASAF Akitoa Mafunzo

Washiriki Wakifuatilia Kwa Umakini Mafunzo

Mwezeshaji Akitoa Ufafanuzi Juu ya Kutunza Akiba

Kwa maelezo zaidi pakua nyaraka hapa chini:

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi March 26, 2018
  • Nafasi ya Masomo kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne na Sita Chuo cha Serikali za Mitaa February 13, 2018
  • Ratiba ya Vikao vya HalmashauriI 2017/2018 December 15, 2017
  • Mapokezi ya Fedha TSH. 836,226,481.01 December 15, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • LIC yatoa Mafunzo ya Uwekezaji Mpwapwa

    March 14, 2018
  • TASAF Yatoa Mafunzo Kwa Wakuu wa Idara

    March 12, 2018
  • Baraza la Biashara lafanya Kikao na madiwani

    February 09, 2018
  • Mkuu wa Wilaya Mh. Jabir Shekimweri aunda Tume ya Uchunguzi Wilayani Mpwapwa

    February 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya Mkuu wa Wilaya Mpwapwa Mh. Jabir Sheheimweri siku ya wanawake duniani Machi 8, 2017.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 67209840

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Haki Miliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa - Haki zote zimehifadhiwa